Wakati Pilato anamhoji Yesu aliuliza "Kweli ni nini?" (Yohana 18:38). Hilo ni swali ambalo linagonga vichwa hata leo hii ingawa Yesu alikuwa ameshaliongea sana. Biblia ina majibu kuhusu swali hilo ambalo ukijua jibu lake utapiga hatua sana kiroho na kimwili pia. Kitabu hiki, kwa ufupi sana, kinafichua kweli iliyofichika.