Hili ni somo la uponyaji. Ni mapenzi ya Mungu kutuponya lakini kinachotuzuia kupokea uponyaji ni kutofahamu maandiko. Ndiyo maana, Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu? (Marko 12:24). Kitabu hiki kinapambanua maandiko yanayohusu uponyaji.