Kitabu hiki ni mwongozo mfupi kwa ajili ya kumwongoza mtu aliyeokoka katika imani kwa ya kumjenga na kumuimarisha. Mafundisho yaliyomo yanafaa pia kwa mtu aliyeokoka kitambo lakini hakuweza kupitia maelekezo ya awali ya wokovu. Hata kama umeshaokoka na kupitia mafundisho ya awali ya wokovu, kurudia tena siyo vibaya. Neno la MUNGU halina overdose.